EDULINKtz inazipa shule mfumo mmoja wa kisasa wa kusimamia taaluma, wanafunzi, wazazi, wafanyakazi, fedha na shughuli mbalimbali za shule kwa urahisi zaidi.
Kwa shule zote, sambamba na website moja bure kwa kila shule.
Zana mbalimbali zinazosaidia shule kuendesha shughuli zake kwa ufanisi, uwazi na teknolojia ya kisasa.
Matokeo, NECTA format, reports na ufuatiliaji wa maendeleo ya wanafunzi.
Usajili na mchakato wa kuwapokea wanafunzi wapya kwa urahisi.
Tuma taarifa na mawasiliano muhimu kwa wazazi na wadau wa shule.
Mzazi kuona ada, michango, matokeo na taarifa muhimu za mwanafunzi.
Wanafunzi kupata na kupakua vitabu vya kujisomea bure.
Wanafunzi kufanya mazoezi na kujiandaa kwa mitihani.
Rekodi, taarifa na usimamizi wa wafanyakazi wa shule.
Usimamizi wa mishahara na taarifa za malipo kwa wafanyakazi.
Usimamizi wa bidhaa, mauzo na stock ya shule.
Omba na fuatilia matumizi madogo ya fedha kwa njia ya kidijitali.
Tangaza nafasi na pokea maombi ya kazi mtandaoni.
Fuatilia stock, manunuzi, mahitaji na bidhaa za shule.
Wafanyakazi kuomba ruhusa na likizo kwa njia ya mtandao.
Chaguzi za wanafunzi kwa mfumo wa kidijitali.
Usimamizi wa vitabu, wakopaji na shughuli za maktaba.
Kutoka kwenye karatasi na michakato migumu, kwenda kwenye usimamizi wa kisasa unaopatikana kwa urahisi kupitia teknolojia.
Interface rahisi kwa viongozi, walimu, wafanyakazi na wazazi.
Punguza kazi za mikono na kurahisisha michakato ya shule.
Fikia huduma muhimu za shule kupitia vifaa vinavyounganishwa na mtandao.
Taarifa muhimu za shule zinasimamiwa kupitia mfumo wa kidijitali.
Mzazi anaweza kupata taarifa muhimu za mwanafunzi bila kulazimika kufika shuleni kwa kila jambo.
Jiunge na EDULINKtz na uanze kutumia mifumo ya kisasa ya usimamizi wa shule bila gharama ya mfumo.