MFUMO WA KISASA WA USIMAMIZI WA SHULE

Teknolojia
Inayounganisha
Shule Zote Nchini.

EDULINKtz inazipa shule mfumo mmoja wa kisasa wa kusimamia taaluma, wanafunzi, wazazi, wafanyakazi, fedha na shughuli mbalimbali za shule kwa urahisi zaidi.

✓ Mifumo yote 100% BURE kwa shule zote
EDULINKtz Dashboard
School Management
Muhtasari wa Shule
Wanafunzi 1,240
Wafanyakazi 86
Madarasa 32
✓
Shule Yako, Mfumo Wetu! Rahisi • Salama • Kisasa
★

Mifumo yote ni BURE 100%

Kwa shule zote, sambamba na website moja bure kwa kila shule.

100% BURE
EDULINKtz

Kila kitu cha shule yako, mahali pamoja.

Zana mbalimbali zinazosaidia shule kuendesha shughuli zake kwa ufanisi, uwazi na teknolojia ya kisasa.

📊

Usimamizi wa Taaluma

Matokeo, NECTA format, reports na ufuatiliaji wa maendeleo ya wanafunzi.

🎓

Udahili wa Wanafunzi

Usajili na mchakato wa kuwapokea wanafunzi wapya kwa urahisi.

💬

SMS & Barua

Tuma taarifa na mawasiliano muhimu kwa wazazi na wadau wa shule.

👨‍👩‍👧

Parent Portal

Mzazi kuona ada, michango, matokeo na taarifa muhimu za mwanafunzi.

📚

Vitabu vya Kujisomea

Wanafunzi kupata na kupakua vitabu vya kujisomea bure.

📝

Mazoezi ya Mitihani

Wanafunzi kufanya mazoezi na kujiandaa kwa mitihani.

👨‍🏫

Usimamizi wa Wafanyakazi

Rekodi, taarifa na usimamizi wa wafanyakazi wa shule.

💰

Payroll

Usimamizi wa mishahara na taarifa za malipo kwa wafanyakazi.

🠀򏠼/div>

Uhasibu

Rekodi za fedha, mapato, matumizi na taarifa za kifedha.

🏪

Duka

Usimamizi wa bidhaa, mauzo na stock ya shule.

💵

Petty Cash

Omba na fuatilia matumizi madogo ya fedha kwa njia ya kidijitali.

💼

Maombi ya Kazi

Tangaza nafasi na pokea maombi ya kazi mtandaoni.

📦

Stoo & Manunuzi

Fuatilia stock, manunuzi, mahitaji na bidhaa za shule.

📅

Ruhusa / Leave

Wafanyakazi kuomba ruhusa na likizo kwa njia ya mtandao.

🗳️

Online Voting

Chaguzi za wanafunzi kwa mfumo wa kidijitali.

📖

Library Management

Usimamizi wa vitabu, wakopaji na shughuli za maktaba.

KWA NINI EDULINKtz?

Badilisha namna shule yako inavyoendeshwa.

Kutoka kwenye karatasi na michakato migumu, kwenda kwenye usimamizi wa kisasa unaopatikana kwa urahisi kupitia teknolojia.

✓

Rahisi Kutumia

Interface rahisi kwa viongozi, walimu, wafanyakazi na wazazi.

⚡

Huongeza Ufanisi

Punguza kazi za mikono na kurahisisha michakato ya shule.

☁

Inapatikana Popote

Fikia huduma muhimu za shule kupitia vifaa vinavyounganishwa na mtandao.

🔒

Salama

Taarifa muhimu za shule zinasimamiwa kupitia mfumo wa kidijitali.

KWA WAZAZI

Parent Portal.
Shule na mzazi,
karibu zaidi.

Mzazi anaweza kupata taarifa muhimu za mwanafunzi bila kulazimika kufika shuleni kwa kila jambo.

✓ Angalia ada na michango
✓ Fuatilia malipo
✓ Angalia matokeo
✓ Fuatilia pocket money
✓ Pata taarifa za shule
✓ Mawasiliano na shule
Pata EDULINKtz →
WASILIA NA EDULINKtz 0685-700 191 ☎ Piga Simu Sasa

Shule yako iko tayari
kwa teknolojia?

Jiunge na EDULINKtz na uanze kutumia mifumo ya kisasa ya usimamizi wa shule bila gharama ya mfumo.